17 Mar 2026 1:51 pm | Citizen TV 100 views Duration: 1:57 Gavana wa Kaunti ya Kwale, Fatuma Achani, amepokezwa rasmi soko la kisasa la Diani kutoka kwa mwanakandarasi baada ya ujenzi wa soko hilo kukamilika.