Soko kuu limesalia mahame kufuatia hofu ya virusi vya corona Voi

  • | Citizen TV
    Soko la Voi limesalia mahame huku wateja na wachuuzi wakiepuka kufanya biashara kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona.