Soko la mifugo lafunguliwa kwa wafugaji kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    307 views

    Kaunti ya kajiado kwa muda mrefu imejulikana kutegemea ufugaji kama kitega uchumi kwa wengi. Na sasa wafugaji wa kajiado kusini wamepata afueni baada ya kufunguliwa kwa soko ya mifugo itakayowawezesha kufanya biashara kwa mpangilio.