Sparkles Properties Limited wawataka wakenya kutoingiza siasa ubomozi wa nyumba katika ardhi yao Voi

  • | K24 Video
    57 views

    Wakurugenzi wa kuu wa kampuni ya Sparkles Properties Limited wanaomiliki ardhi ya ekari 138 iliyoko eneo la Voi kaunti ya Taita Taveta wamewataka wakenya kutoingiza siasa ubomozi wa nyumba katika ardhi yao huko Voi. Wakurugenzi hao wameeleza kuhusu vikao walivyofanya na maskwota eneo hilo ili kutatua mzozo bila ufanisi.