Spika asema MCA waliotimuliwa wameihadaa korti

  • | Citizen TV
    435 views

    Mzozo wa mamlaka katika Kaunti ya Machakos umechukua sura mpya baada ya Spika wa Bunge la Kaunti hiyo, Anne Kiusya, kufika katika Mahakama Kuu kupinga maagizo yaliyowaruhusu MCAS tisa waliofurushwa kurejea bungeni.