Skip to main content
Skip to main content

Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ameomboleza kifoEmurua cha Mbunge wa Doc, Johana Ng'eno

  • | Citizen TV
    267 views
    Duration: 1:40
    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ameomboleza kifo cha Mbunge wa Emurua Dik, Johana Ng'eno, akimtaja kama mmoja wa wabunge mahiri zaidi waliowahi kulitumikia Bunge. Spika Wetangula akisema marehemu Ng'eno alibainika kwa umahiri wake katika mijadala na uongozi wa kupigiwa mfano.