Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula asema serikali ya kenya kwanza inaendelea kurekebisha uchumi

  • | K24 Video
    93 views

    Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula anasema serikali ya kenya kwanza inaendelea kurekebisha uchumi mbovu ambao waliurithi kutoka serikali ya jubilee. Wetangula alikuwa akizungumza haya akiwa katika ibada ya kanisani katoliki eneo bunge la Bumula kaunti ya Bungoma. Wakati huo huo viongozi wa vyama tofauti walipigia debe wawaniaji wa kinyang'nyiro cha uchaguzi mdogo wa useneta utakaofanyika desemba tarehe 8