Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula awarai wakenya kuunga mkono serikali ya kenya kwanza

  • | TV 47
    18 views

    Akizungumza katika kanisa katoliki la malindi alipohudhuria ibada, wetangula amewarai wakenya kuipa serikali ya kenya kwanza kufanya yaliyoahidi wakati wa kampeni hata ingawa wakenya wengi wanapitia hali ngumu ya maisha. Aidha alisema kuwa kila mtu anapaswa kuunga mkono mazungumzo yanayoendelea kati ya serikali na upande wa upinzani. wetangula aliandamana na ali wario mbunge wa eneo bunge la garsen na innocent mugabe wa eneo bunge la likuyani huku wawili hao wakiunga mkono semi za wetangula.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __