Spika wa bunge la taifa Wetang'ula awaomba wanasiasa kutoka muungano wa Azimio kusitisha maandamano

  • | K24 Video
    101 views

    Spika wa bunge la taifa Moses Wetang'ula amewaomba wanasiasa kutoka muungano wa Azimio kusitisha maandamano kwani wakenya wanapitia changamoto nyingi kwa sasa ambazo serikali ya Kenya Kwanza imo mbioni kutatua. Wetangula amesema wakati wa siasa uliisha na sasa ni wakati wa kuwahudumia Wakenya.