Spika wa Bunge la Tanzania afafanua uhalali wa malipo ya wabunge

  • | VOA Swahili
    300 views
    Spika wa Bunge la Tanzania katika mahojiano maalum na VOA, anafafanua uhalali wa malipo ya wabunge na kusema wanalipwa kulingana na uzito wa kazi yao. Pia amesema hakuna malipo ya ziada kwa mbunge yoyote yanayofanyika. Sikiliza maelezo kamili... #spika #bunge #tanzania #malipo #wabunge #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.