Spika wa Bunge la Tanzania Dr Tulia Ackson azungumzia wajibu wa Bunge kupunguza matumizi ya serikali

  • | VOA Swahili
    397 views
    Spika wa bunge la Tanzania DR. Tulia Ackson amesema bunge la nchini hiyo lina wajibu wa kupunguza matumizi ya serikali. Ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na kipindi hichi cha Dunia leo mapema leo, ambapo pia mbali na kuwa spika wa bunge la Tanzania , Dr. Ackson ni mwenyekiti wa muunga wa mabunge ya Afrika –IPU na sasa anagombea kuwa rais wa muungano huo. Kwanza anaanza kwa kujibu kuhusu kubana matumizi ya serikali . #VOASwahili #spika #bunge #tanzania #matumizi #serikali #voa #dunianileo Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.