Spika wa Migori Charles Owino alalamikia kung'atuliwa

  • | Citizen TV
    593 views

    Siku moja baada ya Spika wa bunge la kaunti ya Migori Charles Owino kung'atuliwa ofisini kwa madai ya ubadhirifu wa fedha amekashifu hatua hiyo.