Spika wa Nairobi Kennedy Ng'ondi aomba radhi kwa video iliyosambaa

  • | Citizen TV
    4,736 views

    Spika wa bunge la kaunti ya Nairobi Kennedy Ng’ondi amejitetea na kuomba radhi baada ya kanda ya video iliyosambaa mitandaoni kumuonyesha akitumia nguvu kumsalimia na kumshika kwa lazima mwakilishi wadi Fatuma Abey kinyume na maadili yake ya dini ya kiislamu.