Spika wa Seneti atangaza kiti cha Seneta Orwoba kuwa wazi

  • | Citizen TV
    5,164 views

    Spika wa bunge la seneti Amason Kingi ametangaza kuwa wazi nafasi ya seneta wa kuteuliwa iliyokuwa ikishikiliwa na Gloria Orwoba aliyetimuliwa rasmi hii leo. Orwoba ametimuliwa baada ya chama cha UDA kumfurusha. Haya yamejiri huku Orwaba akielekea mahakamani ambako uamuzi wa UDA kumtimua umebatilishwa.