Spika Wetangula asema ni wajibu wa wabunge kubuni mikakati ya kupunguza gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    509 views

    spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amesema ni wajibu wa wabunge wa upande wa serikali na upinzani kufanya kazi pamoja ili kubuni mikakati ya kupunguza gharama ya maisha. Wetangula ameyasema hayo akifungua warsha ya uongozi wa bunge na wahariri wa habari jijini mombasa.