Sri Lanka: je maandamano yataisha lini?

  • | BBC Swahili
    Jeshi liko katika mitaa ya mji mkuu Sri Lanka lakini maandamano dhidi ya serikali kuhusu kupanda kwa gharama za maisha bado yanaendelea. Waziri Mkuu, Mahinda Rajapaksa, alijiuzulu Jumatatu waandamanaji wanasema hawataacha hadi rais wa Sri Lanka, aondoke. Hoteli, mabasi, magari na hata nyumba za wanasiasa mashuhuri zilichomwa moto. #bbcswahili #srilanka #maandamano