Stephen Munyakho arejea Kenya na kulakiwa na jamaa na familia katika uwanja wa Jomo Kenyatta.

  • | Citizen TV
    301 views

    Stephen Munyakho, aliyeachiliwa kutoka gerezani nchini Saudi Arabia baada ya miaka kumi na minne, hatimaye amewasili nchini ambapo alilakiwa na jamaa na familia katika uwanja wa Jomo Kenyatta.