Steve Munyakho hatimaye aachiliwa kutoka Saudia

  • | KBC Video
    109 views

    Stephen Bertrand Munyakho, mkenya ambaye alikuwa amehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia, hatimaye yuko huru baada ya kuzuiwa gerezani kwa miaka-14.Katibu wa mashauri ya nchi za kigeni Korir Sing’oei alithibitisha kwamba Munyakho, ambaye kwa sasa anafahamika kama Stephen Abdukareem Munyakho, aliondoka katika gereza la Shimeisi mjini Mecca mwendo wa saa nne asubuhi saa za humu nchini, huku akiponyoka mauti baada ya maombi ya kuachiliwa huru kujibiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive