Suala la uakilishi katika bunge la taifa laelekea mahakama ya rufaa

  • | KBC Video
    327 views

    Bunge la kitaifa na viongozi wa muungano wa Kenya Kwanza katika hilo, wamewasilisha rufaa mbili katika mahakama ya rufaa, kupinga uamuzi wa mahakama kuu uliofutilia mbali uamuzi wa Spika Moses Wetang’ula wa mwaka wa 2022 ambao ulitaja muungano wa Kenya Kwanza kuwa wenye uwakilishi mkubwa bungeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive