- 429 viewsUhamiaji usio halali hapa Marekani unaonekana litakua suala kuu kwa wapiga kura wengi wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba mwaka huu. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Suala la Uhamiaji usio halali latawala uchaguzi wa awali Marekani | VOA Swahili
- - LIVE|| TV47 Matukio ››
- 2 May 2024 - U.S. Secretary of State Antony Blinken met with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu in Jerusalem on Wednesday as talks continue in Cairo to resolve details of an elusive bid for a cease-fire in Israel’s war with Hamas militants in Gaza.
- 2 May 2024 - Tourists were evacuated by air from Kenya's Maasai Mara National Reserve Wednesday after more than a dozen hotels, lodges and camps were flooded as heavy rains continue to batter the country.
- 2 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Kenya Rural Roads Authority (KeRRA) is in the eye of a storm over the irregular award of a Sh4.6 billion […]
- 2 May 2024 - East African Community, ASALs, and Regional Development Cabinet Secretary Peninah Malonza has urged Kenyans to avoid politicizing the current floods which have led to the deaths of hundreds of people countrywide.
- 2 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Battle for the estate of a deceased AIC church cleric Edward Limo in Uasin Gishu County has taken a new […]
- 2 May 2024 - Eastern India experienced its hottest April on record as a heatwave scorched parts of the country amid a general election, killing at least nine people, and the weather office on Wednesday forecasted above-normal temperatures for May too.
- 2 May 2024 - Harvey Weinstein is due to appear in state court in Manhattan on Wednesday for the first time since New York's highest court threw out his 2020 rape conviction last week.
- 2 May 2024 - Reading Time: 3 minutes Lawmakers want the Ministry of Health to suspend the registrations of Kenyans into the Social Health Insurance Fund (SHIF) until […]
- 2 May 2024 - Three managers at the National Cereals and Produce Board (NCPB) will face charges in connection with the fake fertiliser scandal that has been in the country for about two months.
- 2 May 2024 - Supporters of Israel attacked a pro-Palestinian protest camp at the University of California in Los Angeles on Wednesday, while New York's mayor said a pro-Palestinian protest at Columbia University broken up by police had been led by outsiders.