Suala la ukaguzi wa matokeo ya uchaguzi yasheheni kwenye kikao cha mazungumzo pande mbili za kisiasa

  • | K24 Video
    54 views

    Ukaguzi wa uchaguzi wa mwaka wa 2022 ulisheheni katika kikao cha mazungumzo ya pande mbili za kisiasa katika ukumbi wa Bomas. Viongozi wa kidini pamoja na kamati ya mahusiano ya vyama vya kisiasa wametoa mapendekezo kuwa ni muhimu ukaguzi wa uchaguzi uliopita kufanyika kutathmini kilichoenda mrama. Jjamii ya Sabaot pia walifika mbele ya kamati hiyo kutoa mapendekezo kutaka kaunti yao