Suala la Wahamiaji wasio halali laongoza miongoni mwa maoni ya wapiga kura

  • | VOA Swahili
    142 views
    Suala la uhamiaji lajitokeza katika kampeni za wagombea urais Marekani. Huko katika Jimbo la Wisconsin, suala la uhamiaji usiokuwa halali katika uchaguzi wa awali liliongoza katika maoni ya wapiga kura wengi. Pia masuala mengine ni hali ya maisha na haki ya kuishi vimejitokeza. Endelea kusikiliza ni wanachosema wagombea urais Joe Biden and Donald Trump... #uchaguziwaawali #wisconsin #maoni #wapigakura #wagombea #urais #kampeni #joebiden #donaldtrump #republikan #demokratiki #voa #voaswahili