Sudan na Ethiopia wafikia makubaliano ya bwawa lenye utata

  • | VOA Swahili
    417 views
    Kiongozi wa kijeshi wa Sudan asema nchi yake na Ethiopia zimekubaliana katika masuala yote kuhusu bwawa lenye utata la Grand Ethiopian Renaissance Dam. Endelea kusikia maafikiano yaliyofikiwa juu ya kadhia hiyo na nini serikali hizo mbili zimekubaliana. Endelea kusikiliza ripoti kamili... #kiongozi #jeshi #Sudan #ethiopia #bwawa #utata #grandethiopianrenaissancedam #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.