Sudi awasuta wanasiasa wanaoeneza ukabila

  • | KBC Video
    149 views

    Mbunge wa Kapsaret Oscar Sudi amewashtumu viongozi wanaoeneza ukabila, akiwataja kuwa maadui wa umoja na mshikamano wa wakenya. Katika kaunti ya Machakos, Seneta Agnes Kavindu ametoa wito kwa Rais William Ruto kupunguza bei ya baadhi ya bidhaa zinazolengwa kutozwa ushuru katika mswada mpya wa fedha. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa taarifa kuhusu siasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive