Supkem: Tunawatahadharisha mahujaji dhidi ya mawakala tapeli

  • | Citizen TV
    246 views

    Baraza Kuu la Waislamu Kenya (SUPKEM) limeanza rasmi maandalizi ya hajj mwaka wa 2026 ili kuhakikisha kuwa mahujaji wote wa kenya wanapewa usaidizi bora zaidi katika masuala ya mipango ya usafiri, malazi, mwongozo na ustawi wa jumla.