Susan Muthoni ndiye mshindi wa Ksh. 500,000 wa Shabiki Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    243 views

    Susan Muthoni, anayefanya kazi katika duka moja la kuuza nafaka huko meru ndiye mshindi wa hivi punde wa mchezo wa 500,000 Shabiki Kaende Jackpot.