Swala la thuluthi mbili ya uwakilishi lingali donda ndugu

  • | KBC Video
    65 views

    Jopo kazi linalojumuisha sekta mbalimbali kuhusu kuafikiwa kwa kanuni ya thuluthi mbili ya uwakilishi wa kijinsia, limekutana na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kutafuta uungwaji mkono wa ripoti ya uwakilishi wa kijinsia

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive