Taarifa Kaunti: Mradi wa kukabiliana na dhulma za kijinsia miongoni mwa wachimba dhahabu wazinduliwa

  • | KBC Video
    4 views

    Shirika moja la kijamii katika kaunti ya Kakamega limezindua mradi almaarufu Migodi ya Usawa unaolenga kukabiliana na dhulma za kijinsia miongoni mwa wachimba dhahabu. Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Halima Nyota amesema mradi huo umezinduliwa kufuatia ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia ambavyo haviripotiwi huku wengi wa manusura wakiteseka kwa ukimya nao waliotekeleza dhulma hizo wakikosa kuchukuliwa hatua za kisheria. Taarifa hizi na nyingine ni katika mkusanyiko wa taarifa za magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive