Taarifa kuhusu COVID-19 kutoka MOH

  • | K24 Video
    41 views

    Mazungumzo yanaendelea katika wizara ya afya ili kutathmini iwapo watoto walio na umri wa miaka mitano na zaidi watapewa chanjo ya covid-19. Mkurugenzi wa afya ya umma daktari Francis Kuria amesema hayo huku tahadhari ikitolewa kuhusu dalili za uwezekano wa kuzuka tena kwa wimbi lingine la maambukizi ya virusi vya korona katika jiji la Nairobi.