Taarifa kuhusu utovu wa usalama wakati wa uchaguzi Eldas yatolewa

  • | KBC Video
    24 views

    Mahakama imeanza kukagua karatasi za kura kutoka vituo 27 vya kupigia kura katika eneo bunge la Mandera Kaskazini . Haya yanajiri baada ya mlalamishi Mohamed Fara Bardad wa chama cha Jubilee kupinga uchaguzi wa Meja Bashir Sheikh Abdullahi wa UDM akishinikiza kufutiliwa mbali kwa uchaguzi wake kwa madai ya uhongaji wa wapiga kura, ushawishi usiofaa na kutokuwa na usawa katika ujumuishaji wa kura.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakamani #News #Eldas