Taarifa kutoka Mahakamani

  • | KBC Video
    59 views

    Mahakama kuu imeidhinisha ombi la dharura la mzazi kutoka Shule ya Msingi ya Moi Kabarak katika kaunti ya Nakuru anayetaka matokeo ya mtihani wa darasa la nane ya mtoto wake yachunguze upya. Jesse Mbego Marita anapinga matokeo yaliyotangazwa na waziri wa Elimu Ezekiel Machogu, akisema hayakuwiana na rekodi ya matokeo bora ya shule hiyo katika miaka iliyopita. Maelezo zaidi ni kwenye kitengo cha Mizani ya Haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News