Taarifa mseto kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    7 views

    Wizara ya maji, usafi na unyunyiziaji mashamba inashirikiana na sekta ya kibinafsi nchini Marekani katika juhudi za kukabiliana na tatizo la uhaba wa maji humu nchini. Sekta za kibinafsi zimetakiwa kushirikiana na serikali kufadhili kikamilifu baadhi ya miradi ya maji humu nchini. Taarifa zaidi ni katika mseto wa Magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive