Taarifa mseto za Biashara

  • | KBC Video
    22 views

    Mipango inaendelea ya kuongeza uzalishaji katika kiwanda cha utayarishaji matunda katika kaunti yaTana River kutoka lita 1,000 kwa saa hadi lita 3,000 kwa saa kwa lengo la kupiga jeki juhudi za kuongeza dhamani ya bidhaa. Mwanachama wa kamati ya bunge kuhusu ustawi wa kimaeneo, Majimbo Kalasinga amesema lengo la hatua hiyo ni kuimarisha wakulima wadogo wadogo katika eneo la pwani na kutoa nafasi za ajira kwa vijana. Mseto wa taarifa za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive