Taarifa mseto za Magatuzini

  • | KBC Video
    39 views

    Mbunge wa Nyatike, Tom Odege na mwakilishi wa kina mama kaunti ya Migori Fatuma Mohamed wamekosoa serikali kwa kufunga baadhi ya migodi katika kaunti hiyo. Kwingineko, gavana wa kaunti ya Nyandarua, Kiarie Badilisha amewashutumu wafanyibiashara walioandamana kulalamikia kuongezwa kwa ada za leseni akisema kaunti hiyo haiwezi kutekeleza shughuli zake bila mapato. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News