Taarifa Za Biashara

  • | KBC Video
    20 views

    Taasisi ya fedha za umma inaitaka serikali kupatia kipaumbele fedha za matumizi ya kimsingi kwenye bajeti ya mwaka huu ili kuwakinga Wakenya wasioweza kujimudu. Afisa mkuu mtendaji wa taasisi hiyo James Muraguri anasema mapendekezo ya kupunguza fedha zinazotengewa sekta muhimu kama vile afya, kilimo na elimu yatakuwa na athari kubwa kwa suala la gharama ya maisha na uchumi kwa jumla. Mseto wa taarifa za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive