Taarifa za Kaunti I Gavana wa Kakamega aunga mkono nyongeza ya mishahara ya walimu

  • | KBC Video
    38 views

    Viongozi katika kaunti ya Makueni wamekosoa pendekezo la kutaka pesa zinazokusanywa kutoka mbuga ya kitaifa ya Tsavo kugawanywa kwa asilimia hamsini na wakazi wa kaunti ya Taita Taveta. Wakiongozwa na seneta wa kaunti hiyo Dan Maanzo, na mbunge wa eneo la Kaiti Joshua Kimilu, viongozi hao walisema mkakati maalum wa kugawana mapato miongoni mwa kaunti jirani za Makueni, Taita Taveta, Kwale na Kitui unapaswa kutayarishwa. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari kutoka kaunti mbalimbali nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini #kbclive