Taasisi nyingi nchini zasalia bila wagonjwa na wahudumu

  • | Citizen TV
    216 views

    Haya yakijiri, hospitali nyingi zimesalia mahame huku mgomo wa madaktari na wahudumu wengine wa afya ukiendelea kuwahangaisha wagonjwa wanaotegemea huduma hizo. Ziara za wanahabari wetu katika baadhi ya kaunti zikionyesha kuwa, hospitali za umma zimesalia bila wagonjwa, huku wanaotafuta huduma nafuu wakifurika hospitali za misheni.