Taasisi ya kitaifa ya afya ya umma yazinduliwa

  • | KBC Video
    12 views

    Wizara ya afya inawahimiza wabunge kupitisha haraka sheria ya kuanzisha rasmi taasisi ya kitaifa ya afya ya umma ya Kenya, iliyoanzishwa kupitia tangazo la kisheria la mwaka 2022 ili iweze kupata ufadhili zaidi. Taasisi hiyo iliyozinduliwa na waziri wa afya Aden Duale, inalenga kuboresha afya ya umma kwa kuzuia magonjwa, kukuza maisha yenye afya, kufuatilia magonjwa, kutafiti masuala ya afya, kuratibu sera za afya na kushughulikia kwa haraka masuala ya dharura ya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive