9 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 91 views Duration: 1:58 Taasisi ya kuchapisha vitabu kwa ushirikiano na ofisi ya mwakilishi wadi ya wadi ya Sakwa Kusini, kaunti ndogo ya Awendo wametoa vitabu vya thamani ya shilingi milioni 3 kwa shule 32 za msingi katika wadi hiyo.