Taasisi ya kustawisha mtaala wa elimu KICD yazindua vitabu kwa wanafunzi wa gredi ya tano

  • | KBC Video
    Taasisi ya kustawisha mtaala wa elimu hapa nchini- KICD imesema imezindua vitabu vya masomo kwa wanafunzi wa gredi ya tano ili kushughulikia mahitaji ya wanafunzi walio na mahitaji maalum. Hii ni baada ya kutayarishwa na kuidhinishwa kwa mtaala wa masomo na vifaa vitakavyotumiwa shuleni kuanzia mwezi Julai wakati utekelezaji mtaala mpya wa masomo utafikia gredi ya tano. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive