Taasisi ya masoroveya nchini inapinga mswada wa udhibiti wa sekta ya mali isiyohamishika

  • | K24 Video
    12 views

    Taasisi ya masoroveya nchini inapinga mswada wa udhibiti wa sekta ya mali isiyohamishika uliopendekezwa na seneta wa Trans Nzoia, Allan Chesang. kulingana na taasisi hiyo, kuna sheria za kutosha kudhibiti sekta hiyo. Taasisi hiyo pia inapinga zaidi mswada huo kwa jaribio la kudhibiti taaluma mbili kwa wakati mmoja,na badala yake wanapendekeza mswada ujikite katika kudhibiti wajenzi na wawekezaji kwani mawakala wa mali isiyohamishika tayari wamedhibitiwa