Taasisi ya steps Healthcare yatoa mafunzo ya ulezi

  • | Citizen TV
    131 views

    Huku idadi ya watu wanaohitaji mlezi ikiongezeka nchini wakenya zaidi wameendelea kujiunga na taaluma hiyo. Taasisi ya steps healthcare imepiga hatua kwa kutoa mafunzo hayo huku wanafunzi 28 wakifuzu leo baada ya kukamilisha mafunzo ya muda wa miezi sita