Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini imebuni mfumo wa dijitali wa usimamizi wa chanjo

  • | K24 Video
    74 views

    Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini imebuni mfumo wa dijitali wa usimamizi wa chanjo ili kufuatilia mkondo wa chanjo za watoto pindi wanapozaliwa. Hatua hiyo inafuatia wataalam wa matibabu kuonya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa milipuko ya magonjwa yanayoweza kukingwa kwa kupata chanjo za utotoni.