Tabasamu ya wagonjwa Samburu

  • | Citizen TV
    91 views

    Wauguzi katika hospitali ya rufaa ya Samburu mara nyingi huwatumbuiza majeruhi wa mtutu wa bunduki kwa muziki hasa waliolazwa katika wodi za majeruhi wanaouguza majeraha ya risasi na ajali. Wauguzi hawa hufanya hivyo ili kuwaliwaza na kuwaezesha kukabili msongo wa mawazo. Mwanahabari wetu Bonface Barasa ametangamana nao na kutuandalia simulizi ifuatayo.