Tahariri: Vijana wakiendelea kusubiri na kujipanga kisiasa, watapangwa na wazee

  • | NTV Video
    279 views

    Je, vijana wanapoendelea kujipanga wazee wanawapanga? Tahariri inasema, ikizingatiwa asilimia ya wakenya ni vijana chini ya umri wa miaka 35, ni dhahiri kwamba wakitaka mageuzi basi yatapatikana, ila wakiendelea kusubiri na kujipanga, watapangwa na wazee ambao wanajua kujipanga.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya