Taharuki yatanda Katikomor West Pokot

  • | Citizen TV
    2,015 views

    Taharuki imetanda katika kijiji cha Katikomor, kaunti ya West Pokot katika mpaka wa Kenya na Uganda kufuatia tukio la hivi punde la wizi wa mifugo. Wezi wa mifugo walivamia kijiji cha Bukwo, eneo hili la mpakani na kuiba mifugo, kwenye tukio ambapo mwakilishi wodi wa eneo hilo aliuawa. Sasa mamia ya wanafunzi wamekosa kwenda shuleni kwa hofu ya usalama