Taharuki yatanda kijiji cha Poromo, Lamu baada ya mwanamume mmoja kuuliwa katika hali ya kutatanisha

  • | KBC Video
    62 views

    Wakazi wa kijiji cha Poromo katika kaunti ya Lamu wanaishi kwa hofu baada ya kundi linaloshukiwa kuwa la wanamgambo wa Alshaabab kuvamia eneo hilo ambapo walimuua mwanamme mwenye umri wa makamo na kuwachinja mbuzi na kuku wake. Haya yanajiri siku chache tu baada ya shambulizi sawia kuripotiwa katika eneo la Marafa.Hali hiyo ilimwacha mtu mmoja akiwa amefariki na nyumba kadhaa zikiwa zimeteketezwa.Wakazi hao sasa wametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuimarisha usalama katika kaunti hiyo na kukabili tatizo hilo kikamilifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive