Taharuki yatanda kijiji cha Yatya, kaunti ya Baringo kufuatia mauaji ya watoto wawili na majangili

  • | KBC Video
    43 views

    Wakaaji wa eneo la Yatya katika wadi ya Saimo Soi, Baringo Kaskazini, wametoroka makwao kufuatia mauaji ya watoto wawili na majambazi waliojihami na silaha hapo jana. Watoto hao wenye umri wa miaka 11 na 17 walikutana na mauti wakiwa njiani kutoka shuleni wakati majambazi hao walipowavamia na kuwaua papo hapo. Idadi isiyojulikana ya mifugo pia iliibwa wakati wa shambulizi hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive