- 996 viewsDuration: 2:46Taharuki imetanda katika kaunti ya Pokot Magharibi baada ya watu wanne kuuawa kwa kupigwa risasi ndani ya kipindi cha siku tatu. Hali hiyo imezua hofu miongoni mwa wakazi, huku viongozi wa eneo hilo wakitaka kikosi cha polisi kuimarisha doria na msako mkali dhidi ya wanaochochea uhasama baina ya jamii za wafugaji.