- 19,266 viewsDuration: 2:58Hali tete inashuhudiwa katika taifa jirani la Tanzania kufuatia maandamano ya kitaifa yaliyopangwa kufanyika hapo kesho. Hata hivyo, maafisa wa usalama nchini humo wamepiga marufuku maandamano hayo na kuwataka wakaazi wasalia majumbani. Makundi ya kutetea haki za kibinaadam yamekashifu serikali ya rais samia suluhu kwa kutoruhusu haki ya wakaazi kujieleza